Harmonize Ataja Bei ya Kumpandisha Jukwaani Apige Show...Ni Hela Nyingi Kishenzi


Kila ukiniona nimepanda jukwaani kutumbuiza fahamu nimelipwa shilingi Milioni 57.

Jumamosi hii #Harmonize alipanda jukwaani kwenye show ya Life Is Breeze kumpa support Master KG aliyekuwa mtumbuizaji mkuu na kudai kuwa hulipwa $25,000 kwenye show zake.

VIDEO:


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments