Harmonize Atangaza Bifu na Kondeboy wa Simba, Amkataza Kutumia Jina Hilo Mashabiki wa Simba Wamshambulia

 


Msanii wa muziki wa bongo Fleva na CEO wa Lebo ya konde Gang Harmonize wikiendi alijikuta katika hali ya tafrani baada ya kukataza watu kutumia jina la #Kondeboy kwa mchezaji wa Simba akidai linatumika kimakosa kwani ni jina lake na angeombwa kulitumia.

Baada ya Ujumbe aliopost mchambuzi wa soka Tanzania Shaffih Dauda ya kuwaomba mashabiki wa soko kutoa maoni yao kuhusu kiwango cha mchezaji wa Simba Miquissone alichokionyesha katika mchezo dhidi ya FC Plateua ya Nigeria na mashabiki kuanza kutoa maoni yao ndipo Harmonize alipokuja ku cooment na kumwambia Shaffih dauda kuwa ”

Baba hilo jina is a brand usiligawe bila makubaliano, ana mtoto anaitwa Zurekha umeongea naye mmekubaliana kuuza jina la baba yake ?

Huo ndio ulikuwa ujumbe wa hramonize , vipi kuhusu wewe una maoni gani kuhusiana na hili…?

That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments