Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Hii Hapa Inawahusu WALE Wavamizi wa Viwanja...Sheria Inasema Ukivamia Kiwanja na Mmiliki Asipojitokeza Miaka 12 Basi Kinakuwa Chako

 


#UNAAMBIWA: Kwa mujibu wa Sheria ya Ardhi ya Tanzania, Mtu akivamia Ardhi ya mwingine na kuiendeleza kwa muda wa miaka 12 pasipo kuzuiwa na aliyekuwa Mmiliki wa awali basi Ardhi hiyo itakuwa ni Mali halali ya Mvamizi huyo...unashauriwa usiitelekeze kwa muda mrefu ardhi yako maana unaweza kuipoteza.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments