Irene Paul Humwambii Kitu kwa Shilole "Anajua Kulitumia Jina Lake"

 


STAA wa filamu za kibongo, Irene Poul amewakata vilimi mastaa wa kike wa Bongo kwa kuwaambia kuwa hakuna staa mkubwa Bongo kama Zuwena Mohammed ’Shilole’.


Akizungumza na AMANI, Irene amesema kuwa mwanamama Shilole ni mfano wa kuigwa kwani anajua kutengeneza jina lake na ni mtafutaji kweli kweli. “ Kubali ukatae Shilole anajua kulitumia jina lake kwenye mambo ya faida, pia ni mwanamke ambaye anajua kuishi maisha yake,”alisema Irene Poul.

 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments