JPM: Mpaka leo nilitakiwa niwe nimenyonga watu 256 waliohukumiwa kunyongwa, sijanyonga hata mmoja


“Mpaka leo nilitakiwa niwe nimenyonga watu 256 waliohukumiwa kunyongwa, sijanyonga hata mmoja, nawapunguzia kifungo chao cha kunyongwa sasa wafungwe maisha, wapo waliohukumiwa kunyongwa kwasababu mwingine aliua, labda mwingine alua mmoja au mwingine aliua wawili, mimi sheria inaniambia niue 256, nani mwenye dhambi zaidi?” Rais. Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments