Juventus wafanya mazungumzo na wakala wa Pogba, Chelsea yamng’ang’ania GiroudJuventus wameanza kufanya mazungumzo na wakala wa Paul Pogba, 27, Mino Raiola wakijiandaa kumsajili tena kiungo huyo wa kati wa Manchester. (Express)

Juventus yajiandaa kumsajili tena kiungo wa kati wa Manchester Paul Pogba

Mlinzi wa Chelsea na England Fikayo Tomori, 22, ambaye amehusishwa na Leeds, anajiandaa kujiunga na klabu ya Ufaransa ya Rennes kwa mkopo hadi mwesho wa msimu. (Talksport)

Liverpool wanamnya kiungo wa kati wa Lille na Portugal Renato Sanches, 23. (Le10 Sport – in French)Liverpool wanamyatia kiungo wa kati wa Lille na Portugal Renato Sanches(Kulia)

Liverpool wanamyatia kiungo wa kati wa Lille na Portugal Renato Sanches(Kulia)
Huenda wakamnunua Sanches kujaza pengo lililoachwa Georginio Wijnaldum, ambaye Liverpool hawana nia ya kumuachilia, japo hawako hawajaridhia ombi la kiungo huyo wa kati wa Uholanzi aliye na umri wa miaka 30, la kutaka mkataba wa miaka minne. (Express)

Manchester United watasubiri hadi Januar kuamua ikiwa watamuachilia mchezaji wao Brandon Williams ,20, – ambaye ananyatiwa na Southampton na Newcastle – kuondoka kwa mkopo. (Manchester Evening News)

Chelsea wana imani watasalia na Olivier Giroud mwezi Januari na kuendelea kumhakikishia mshambuliaji huyo aliye na umri wa miaka 34- kwamba atasalia na nafasi yake katika kikosi cha kitaifa cha Ufaransa katika michuano ya Ulaya . (Telegraph – subscription required)Olivier Giroud

Chelsea wana imani watasalia na Olivier Giroud mwezi Januari
Manchester United bado wanamtafuta winga mahiri na wachezaji wa safu ya kati na nyuma na vile vile safu ya ulinzi japo matumaini yako lakini hhawatawasajili wachezaji wapya mwezi Januari dirisha la uhamisho litakapofunguliwa. (Manchester Evening News)


 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments