Kampuni ya New Habari yasitisha uzalishaji magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba
Kampuni ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha uzalishaji kutokana na mwenendo mbaya wa biashara. 

Akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo leo Ijumaa Desemba  3, 2020 jijini Dar es Salaam, mhariri mtendaji, Dennis Msacky amesema uzalishaji wa magazeti hayo utasitishwa kuanzia Jumatatu Desemba 7, 2020.
 


That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments