Kampuni ya Toyota inatarajia Kuingiza Sokoni GARI linalotumia Betri ya Kuchaji kwa Umeme

 K


ampuni ya Toyota inatarajia kuingiza sokoni gari linalotumia betri ya kuchaji kwa umeme badala ya mafuta. Imeelezwa kuwa betri hiyo ikijaa gari linaweza kwenda umbali kwa kilomita 500. Betri itachukua dakika 10 kujaa toka asilimia 0 hadi 100.

That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments