Maestro: Morrison Ana Matatizo Kichwani, Azam Kuna Mgogoro Mkubwa

 


MCHAMBUZI maarufu wa masuala ya soka nchini, Ibrahim Maestro, amemchambua mchezaji wa Simba, Bernard Morrison kuhusu vitendo vyake vya utovu wa nidhamu ndani na nje ya uwanja huku akidai kuwa, huenda mchezaji huyo ana matatizo….

Maestro akipiga stori na Global TV Online amefunguka kuhusu mwenendo wa Klabu ya AZAM ambayo imekuwa ikipoteza michezo yake mingi na kutoa droo licha ya kuanza vizuri mechi za awali lakini kwa sasa imeporomoka.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments