Majaliwa Amuombea Nafasi ya PILI Aliyeshindwa Kuapa


“Wizara sasa imepata watu ambao wanaifahamu, eneo hili mh rais sio eneo la mzaha mzaha sana, kwa hiyo yaliyotokea juzi siyo tu Lindi bali tuendele kumuombea kijana wetu,(Ndulane) naamini bado unaweza ukaangaliaangalia, lakini niendelee kusema tu kwamba Wizara ya Madini sasa imepata watu ambao wanaifahamu” Waziri Mkuu Kassi Majaliwa.


Waziri Mkuu Majaliwa ameyasema hayo leo Desemba 11, kwenye hafla ya kumuapisha Naibu Waziri wa Madini, Prof.Shukurani Manya aliyeteuliwa kuchukua nafasi ya, Francis Ndulane aliyeshindwa kuapa juzi na uteuzi wake kutenguliwa.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments