Mama Dangote amuomba Diamond, Muachie mdogo wako Rayvanny akae namba moja usimkazie sana (+Video)


Kutokana na ngoma ya WAAH ya msanii Diamond Platnumz kuendelea kufanya vizuri, Mama mzazi wa msanii huyo mama Dangote kupitia ukurasa wake wa instgram amemuomba Diamond kumuachia Rayvanny naye akae namba moja katika trending ya YouTUBE na kumwambia asimkazie sana.

VIDEO:



HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments