Mama Mjamzito Akutwa na Kifaranga cha Kuku Kwenye Kizazi#HABARI: Mwanamke mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Uvinza, Kigoma, amekutwa na kuku kwenye kizazi baada ya kufika katika kituo cha afya cha Uvinza, akilalamika kuwa anaumwa tumbo na katika uchunguzi daktari akabaini uwepo wa kifaranga hicho ambacho walifanikiwa kukitoa.

Kwa mujibu wa Mganga Mkuu Mkoa wa Kigoma Simon Chacha, uchunguzi wa awali, tukio hilo linahusishwa na imani za kishirikina au ukatili kwa maana ya kuku huyo kuingizwa.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments