Manaibu Waziri 23 walioteuliwa na JPM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Leo Disemba 5 mwaka 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza Baraza la Mawaziri na Manaibu wake Ikulu jijini Dodoma.
Ifuatayo ni orodha ya Manaibu Waziri 23 aliowatangaza:

1. Wizara ya Fedha na Mipango- Mwanaidi Ali Hamis

2. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi- Dkt.Angelina Mabula

3. Ofisi ya Waziri Mkuu, kazi, Vijana na Ajira- Katambi Pascal Patrobas

4. Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi- Hamis Hamza Hamis

5. Wizara ya Viwanda na Biashara - Kigahe Exaud Silaoneka

6. Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia- Kipanga Juma Omary

7. Ofisi ya Rais TAMISEMI- Dkt Festo John Lugange 

8. Wizara ya Nishati- Byabato Stephen Mjwahuka

9. Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala bora- Ndejembi Deogratias John

10. Wizara ya Mawasiliano na Telnolojia ya habari-Mhandisi Kundo Andrea Mathew

11. Wizara ya Mifugo na Uvuvi- Gekul Pauline Philipo

12. Wizara ya Madini- Ndulane Francis Kumba

13. Wizara ya Ujenzi - Mhandisi  Msongwe Godfrey Kasekenya

14.Wizara ya Ofisi ya Waziri mkuu wenye Ulemavu-Ummy Hamis Nderiananga @⁨Ummy Ndeliananga⁩ 

15. Wizara ya Maji- Mhandisi Maryprisca Wilfred Mahundi

16. Wizara ya Habari, Umaduni, Sanaa na Michezo- Abdalah Ulega

17. Wizara ya TAMISEMI- Silinde David Ernest

18. Wizara ya Kilimo- Husein M.Bashe

19. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, wazee na watoto Dkt Godwin Molel @⁨Dr Godwin Oloyce Mollel⁩ 

20. Katiba na Sheria Pinda Geofrey Mizengo

21. Wizara ya Muungano na Mazingira-Mwita Waitara

22. Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki-William Tate Ole Masha

23. Wizara ya Maliasili na Utalii - Mary Francis  Masanja
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad