Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mange Kimambi Amshukia Jux Tena Baada ya Vanessa Mdee Kuvalishwa Pete na Rotimii, Amwita Mlamba Lipsi


From @mangekimambi_ OMG, my pare sister is engaged!!!! Congrats babe @vanessamdee so happy for you and @rotimi.

Ladies you see, pale unapoachana na walamba midomo wanaume wa maana wanakuja. Mwanaume analamba lips asubuhi mpaka jioni, kuna mume kweli hapo?

Just be patient, msikimbilie kulea wanaume, wa maana watakuja na utaolewa asipokuja basi hukuandikiwa ndoa.Sio kila ndoa mwanamke anastirika, ndoa zingine wewe mwanamke unakuwa unamstiri mwanaume. Huku ndo kustirika sasa. Yani Vanessa kastirika kisawasawa, vile inavyotakiwa yani....Hapana chezea wapare wewe.

I’m so happy for you Vee. Yani you leveled up kama utani, duh!!

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments