"Marafiki zangu wengi ni wanawake" - Mkali Wenu

 


Mchekeshaji Mkali Wenu amesema hakuna kitu anachokipenda kama wanawake kwani hata marafiki zake wengi ni wanawake na hana rafiki wa kiume, pia atafurahi kuona mashabiki zake wengi wawe wa jinsia hiyo.

 

Mkali Wenu amesema anapewapenda wanawake kuliko wanaume kwa sababu wao ndiyo wapenzi, dada na mama na asilimia ya wanaume wanapambana kwa sababu yao ndiyo inakuwa rahisi hata kuwaonga pesa kuliko kumuhonga mwanaume.


"Hakuna kitu nachopenda kama wanawake tena nawapenda kuliko wanaume hata mashabiki zangu nitafurahi kuona wakiwa wengi kuliko wanaume, marafiki zangu wengi ni wanawake sina rafiki wa kiume, kwanza wao ndiyo wapenzi, dada na mama zetu pia ni rahisi hata kuwaonga kuliko wanaume" amesema Mkali Wenu 

That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments