Marekani yaidhinisha matumizi ya dharura ya chanjo ya Pfizer
Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Marekani (FDA) imeidhinisha matumizi ya dharura ya Chanjo dhidi ya Corona Virus kutoka Pfizer na BioNTech.
Rais Donald Trump amedai chanjo za kwanza zitatolewa chini ya saa 24. Watu zaidi ya 292,000 wamefariki dunia kutokana na COVID19 Marekani.

Chanjo hiyo imeidhinishwa katika mataifa mbalimbali yakiwemo Uingereza, Saudi Arabia, Bahrain na Canada.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments