Martin Kadinda "Diamond kwa sasa ni kama Michael Jackson, huwezi kumuita tena msanii kama wengine"Mbunifu wa mavazi hapa Tanznaia @martinkadindaofficial ambaye ndio alikuwa mmoja ya wabunifu wa kwanza kuanza kufanya kazi na @diamondplatnumz amezungumza kuhusu mafanikio ya @diamondplatnumz kwa sasa ambapo amemfananisha na mrehemu mkali wa POP duniani Michael JacksonMbali na hilo @martinkadindaofficial amezungmzia kuhusu mavazi yake ya kijeshi aliyoingia nayo kwenye show ya swahili fashion na kusema maemuunga mkono Rais Magufuli kuhusu kuwa mzalendo na kulinda nchi yako.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments