Mashabiki wamshambulia Gigy Money baada ya kulalamikia matunzo kwa Mo Jay, Uza gari hama Masaki njoo ManzeseUsiku wa kuamkia leo ilisambaa video ambayo ilimuonyesha msanii wa muziki wa bongo Fleva @gigy_money_og akimlalamikia Baba mtoto wake @moj360 kuwa hatoe matumizi na hana mpango na mtoto wake.

Kupitia video hiyo mashabiki waliamua kutoa ushauri wao kwa kumshauri kuwa Ahame Masaki na auze gari yake ahamie Manzese ili apate hela ya kumpeleka mtoto wake hospitalini badale ya kumtegemea @moj360 .

Mbali na hilo Mtangazaji wa clouds media @soudybrown alitoa amoni yake kwa kumuuliza @gigy_money_og mbona anaonekana kwenye Tamasha fulani inamana hapati pesa mpaka kufikia hatua ya kulalamika kuwa hana hela na mwanaume hataki kuhudumia mtoto wake ?

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments