Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mfahamu Mwanawake Anayedai Ana Makalio Makubwa Zaidi Afrika MagharibiINAONEKANA Afrika Magharibi iko mstari wa mbele katika ulimwengu ambao kinamama wake wanadai au kudaiwa kuwa na makalio makubwa zaidi. Kwa miaka mingi,  wanawake wengi ambao wamekuwa wakionyesha makalio yao makubwa katika mitandao ya kijamii, wamekuwa ni wa nchi za Afrika Magharibi. 

Picha moja ambayo iko katika mtandao imekuwa ikiwashangaza na kuwaacha watu wengi midomo wazi baada ya kuiona.

Kimwana mwenyewe anaitwa Nice Eudoxie Yao, ambaye ni mwigizaji, modo, mtangazaji wa televisheni na mtaalamu wa urembeshaji. 


 Mdada huyo mwenye mvuto mkubwa ambaye ni raia wa Cote d’voire, hasifiki tu kuwa na makalio makubwa, bali pia ana ‘hips’ kubwa zilizojitokeza na hivyo kumfanya awe na shepu yenye mwonekano wa kuvutia ajabu. 


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments