Mfanyabiashara Dar Ajiua Kwa Msongo wa MawazoJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar limesema, Mfanyabiashara aliyefahamika kwa jina la Nasir Shabani (51) amejiua kwa kujipiga risasi kwa kutumia bastola aina ya Revolver
-
Tukio hilo limetokea jana usiku maeneo ya Ubungo Kibangu na kwa mujibu wa mashuhuda, imeelezwa kuwa Marehemu alijiua kutokana na msongo wa mawazo
-
Katika tukio lingine, Jeshi la Polisi pia limethibitisha kuuawa kwa jambazi ambaye alikuwa akishirikiana na wenzake wawili waliofanikiwa kukimbia kufanya uhalifu jijini Dar na mikoa ya jirani


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments