Miss Tanzania kujulikana leo, hili ndilo gari atakalokabidhiwa
 Fainali ya Shindano la Miss Tanzania 2020 litafanyika usiku wa leo kwenye ukumbi wa Mwl. Nyerere (JNICC) Posta Jijini Dar es Salaam.
Pichani ni gari aina ya Subaru Impreza lililoandaliwa kama zawadi kuelekea fainali za Mashindano ya Miss Tanzania kwa mwaka huu.

Kwa mrembo mwenye vigezo atakayeibuka mshindi na kuvishwa taji rasmi la Miss Tanzania 2020 atakuwa na uhalali wa kuondoka nalo.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments