google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Mitambo ya Umeme ya Symbion Power Kupigwa Mnada | UDAKU SPECIAL

Mitambo ya Umeme ya Symbion Power Kupigwa Mnada

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Kazi imeamuru mitambo ya kufua umeme ya Kampuni ya Symbion Power kupigwa mnada baada ya kushindwa kuwalipa mishahara Wafanyakazi kwa miaka mitatu


Katika utekelezaji wa amri iliyotolewa, tangazo limewekwa katika Ofisi za Kampuni hiyo. Baadhi ya Wafanyakazi wamesema wanadai zaidi ya Bilioni 12 na wanaotakiwa kulipwa ni 43


Wafanyakazi wanadai mishahara ya miezi zaidi ya 30 na wamekuwa wakifanya kazi kwa kipindi chote wakiamini watalipwa #Haki zao

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad