Mke wa Lukamba Afungikia Madai ya Kuachana na MumeweBAADAya tetesi nyingi kusambaa mitandaoni kuwa mwanamitindo Ceccy amemwagana na mume wake Lukamba ambaye ni mpigapicha wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ hatimaye mwenyewe ameibuka na kufunguka.

 

Akizungumza na Risasi Vibes,mrembo huyo alisema kuwa ameshangaa kuona watu mtandaoni wanamsema kuwa amemwagana na mume wake kwa sababu kaishiwa pesa za kumpa jambo ambalo halina ukweli wowote.“

 

Mitandaoni kila mtu anaongea lake, nasikia wanasema kuwa nimeachana na mume wangu Lukamba kwa sababu sina pesa ya kumpa mara nilienda Dubai kudanga ili nipate pesa jambo ambalo halina ukweli wowote, kwa taarifa yao sijaachana na mume wangu na bado tunapendana,” alisema Ceccy.

STORI: Memorise Rich


 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments