Mkuu wa wilaya ya Hai Ole Sabaya amsweka ndani mtumishi wa Serikali kwa utapeli wa Q Net (+Video)Mkuu wa Wilaya ya Hai,Mhe. @lengai_ole_sabaya ameingilia kati sakata la @qnetintanzania na Wananchi, Baadhi ya Wananchi na walimu wameeleza namna walivyochukuliwa fedha zao kinyume na utaratibu,hali iliyopelekea DC Sabaya kuchukua hatua na kuagiza kuwekwa  ndani Mtumishi wa Serikali katika Manispa ya Moshi kwa tuhuma za kujihusisha na utapeli.

Mkuu huyo wa Wilaya ya Hai Ole Sabaya amesema uamuzi huo umetokana na madai ya Walimu wapatao tisa kulalamika kutapeliwa na Taasisi inayojihusisha na biashara mtandaoni ya Q-Net.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments