Mr Kuku Aachiwa, Baada ya Kulipa Faini
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Desemba 17, 2020, imemwachia huru Tariq Machibya (29) almaarufu Mr Kuku baada ya kulipa faini ya shilingi milioni tano huku fedha kiasi cha shilingi bilioni 5.4 zilizokuwa kwenye akaunti yake zikitaifishwa.

Mahakama hiyo jana ilimhukumu mfanyabiashara huyo kulipa faini ya sh. milioni tano au kwenda jela miaka mitano baada ya kutiwa hatiani kwa makosa mawili ambayo ni kujihusisha na biashara ya upatu kwa kukusanya fedha kutoka kwa umma na kukubali kupokea miamala ya fedha bila ya leseni.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments