Mrembo Maarufu Afariki Dunia Baada ya Zoezi la Upasuaji Kuongeza Makalio Kufeli


Mrembo Joselyncano maarufu kama Kim Kardashian wa Mexico amefariki baada ya kufeli kwa zoezi la upasuaji wa makalio kupendezesha mwili wake, mitandao imeripoti.


Mrembo huyu maarufu aliekua na followers MILIONI 13 kwenye Instagram aliubadili mwili wake kwa kufanya upasuaji mara kadhaa ili kupendeza zaidi na kuwa na mvuto ambapo Ripoti zinasema amefia Colombia akiwa na umri wa miaka 29.

That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments