Msanii Ibraah Afunguka Kuhusu Msichana wa Mtwara Aliyejitambulisha Kuwa Alikuwa ni Mpenzi Wake "Yule ni Ndugu Yangu"


Msanii @ibraah_tz Kutoka Lebo Ya @kondegang Afunguka Sakata La Uhusiano Wake Wa Zamani Na Mwanadada Rashda Aliyejitambulisha Kama Mpenzi Wake Kipindi Hicho Ibraah Yupo Kijijini Kwao Lukokoda


Ibraah Kafunguka Kwa Kusema, “Yule Hakuwa Mpenzi Wangu, Ni Ndugu Yangu Kabisa, Ni Mtoto Wa Babu Yangu, Hata Sijui Aliwaza Nini....!!!!” @ibraah_tz


“Hata Babu Yangu Alipoiona Video Alinipigia Simu, Kuniuliza Kama Iliniletea Matatizo Yoyote” @ibraah_tz


Kwenye Post Hii Ni Video Moja Iliyosambaa Kwenye Mitandao Ya Kijamii Ikimuonyesha Msichana Mmoja Aliyedai Kuwa Yeye Ni Mpenzi Wa IbraahThat Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments