Mtoto wa Jay-Z na Beyonce, Blue Ivy Carter ametajwa kuwania tuzo za Grammy.


Mtoto wa Jay-Z na Beyonce, Blue Ivy Carter ametajwa kuwania tuzo za Grammy. Blue Ivy mwenye umri wa miaka 8, amepata nomination yake ya kwanza kwenye tuzo hizo kubwa duniani.


Ngoma iliyomfanya Blue Ivy akatajwa ni "Brown Skin Girl" ambayo inawania kipengele cha Best Music Video. Wakati nominations za tuzo hizo za mwaka 2021 zikitajwa mwezi uliopita, jina la Blue Ivy halikutokea kwenye orodha ya nominees lakini Grammy wame-update na kuliongeza kwenye tovuti yao.


Jina lingine ambalo limeongezwa ni la mkali wa Afrika Wizkid ambaye pia alishirikishwa kwenye wimbo huo wa 'Brown Skin Girl' wa Beyonce.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments