Mtoto wa Mwigizaji Denzel Washinton Alikataa JINA la Baba Yake...Akiulizwa Baba yako nani Adai Yupo Jela


 Kwenye Interview Na Mr Porter, Mtoto wa Mwigizaji Denzel Washinton, David Washington'36' amesema 'Nilikuwa naficha ukweli kuhusu Baba yangu mzazi baada ya kuona watu wanabadilika nikisema Denzel ndio baba yangu, Nikaanza kusema baba yangu ni fundi wa ujenzi au yuko jela, Nilifanya hivyo ili kuweza kupata kazi za kuigiza bila kutumia jina la baba'. Hivi karibuni Tumemuona David kwenye filamu mpya ya Tenet.

That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments