Mume wa Card B Mwanamuziki Offset Aikataa Chanzo ya Corona "Sitaki Kuwa Sehemu ya Majaribio"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kinga ya COVID-19 ipo mbioni kuanza kutolewa nchini Marekani, lakini kuna wengi wameonekana kutia mgomo.


Rapa Offset ametangaza kuikataa chanjo hiyo kwa sababu aliyoitaja kwamba haiamini, alipokutana na TMZ wikendi iliyopita alisema "Siiamini hata hivyo, sitaki kuwa sehemu ya majaribio." alisema Offset.


Kwa mujibu wa taarifa kutoka mtandao wa New York Times, chanjo hiyo itaanza kujaribiwa na watumishi wa ikulu ya Marekani.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad