Mwanamuziki Rihanna Ageukia Mapishi....Atangaza Kutoa Kitabu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Futa matarajio ya kuisubiri album mpya ya Rihanna na nakuomba uweke matarajio mapya ya kukisubiri kitabu chake kipya cha mapishi.


Mwimbaji Rihanna (32) ameweka wazi kwamba anafanyia kazi uandishi wa kitabu chake cha mapishi ambacho kimeshawishiwa na muda wake wa ziada ambao ameupata kipindi cha janga la Corona ambapo ameutumia zaidi akiwa jikoni.


Kwenye mahojiano na Jarida la Uingereza Closer, Rihanna amesema kitabu hicho kitajaa mapishi yake pendwa toka ukanda wa Caribbean ambayo yanamkumbusha nyumbani kwao visiwa vya Barbados.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad