Mwigulu Nchema, Ndalichako na Faustine Ndugulile Ndani UwaziriRais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amemteua Gwajima Doroth kuwa Mbunge na pia Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii na Watoto

Mwigulu Nchemba ameteuliwa kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Joyce Ndalichako ameteuliwa kuwa Waziri wa Elimu. George Simbachawene anakuwa Waziri wa Mambo ya Ndan

Ndumbaro Damas anakuwa Waziri wa Maliasili na Utalii huku Medard Kalemani akiwa Waziri wa Nishati. Prof. Adolf Mkenda ameteuliwa kuwa Waziri wa Kilimo

Vilevile, Dotto Biteko ameteuliwa kuwa Waziri wa Madini na Faustine Ndugulile anakuwa Waziri wa Wizara Mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mashimba Ndaki ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Seleman Jafo ameteuliwa kuwa Waziri wa TAMISEMI. Rais Magufuli amemteua Ummy Mwalimu kuwa Muungano na Mazingira

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments