Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Mwili wa Mngereza wawasili nyumbani kwao Kilimanjaro kwaajili ya mazishi
Mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mngeraza umewasili nyumbani kwao Kilimanjaro, Wilaya ya Same kijiji cha Suji Misheni tayari kwa mazishi.
Mwili huo umeambatana na waombolezaji ambao ni familia, wafanyakazi wa Basata, wasanii na wadau wa sanaa.

Ibada ya mazishi inatarajiwa kufanyika leo Desemba 30, katika uwanja wa shule ya Sekondari Suji, ambapo maziko yatafanyika katika makaburi ya familia.

Marehemu Mngereza alizaliwa mwaka 1969 akiwa mtoto wa 11 kati ya 13 wa familia ya Mzee Lubejo Mngereza, ameacha mke na watoto wa tatu.


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments