Kupitia ukurasa wake wa instagram @roma_zimbabwe ameandika kuwa “Haya Maswala Ya Trending Leo Ndio Tumemalizana Nayo!! Mwakani Tumeambiwa Kutakuwa Na Tuzo, So Hakuna Tena Ku-post Na Kushangilia Ukiwa Number One On Trending!! #TUNAJILEMAZA!! Ni Vitu Vya Kawaida Sana📌
Trending Unaweza Hata Ukatembea Uchi Na UkaTrend!! Ila Hauwezi Ukapata Tuzo Kwa Kutembea Uchi!! So Tu-focus Kwenye Tuzo Ni Bora Zaidi!!
By The Way Ningeumia Sana Kama Hii #DIASPORA Isingefika Hapo Number 1!!🙏
#HipHop
0 Comments