Padri Atuhumiwa Kumpa Mimba Mwanafunzi
Erasmus Swai (44), ambaye ni Padri wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Manushi, Jimbo la Moshi, anatuhumiwa kumbaka na kumpa ujauzito Mwanafunzi wa miaka 17.


Mbele ya Mahakama ya Wilaya ya Hai, Mwendesha Mashtaka wa Polisi amedai mwezi Machi, 2020 katika Hoteli ya Snow view kwa nyakati tofauti, Padri Swai alimbaka Mwanafunzi huyo.Aliyebakwa ni Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Kimaseki Arusha. Kwa sasa, Padri amesimamishwa majukumu yake ya utumishi kwa Kanisa.


That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments