Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Pongezi bado zinaendelea kumiminika kwa Seven Mosha, Ubalozi wa Marekani Wampongeza, Billboard Wamwandika

 


Pongezi bado zinaendelea kumiminika kwa Seven Mosha, Mtanzania ambaye ameteuliwa na kampuni ya Sony Music Entertainment Africa kuongoza kitengo cha masoko na maendeleo ya wasanii katika ukanda wa Afrika Mashariki.


Jana Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania walimpongeza Seven Mosha kwa hatua hiyo kubwa. Kupitia ukurasa wao wa twitter waliandika;

-

"Big congratulations to @sevenmosha for being promoted to a top job at @sonymusicafrica. A recognition of her talent and the vitality of Tanzania’s music scene. Hoping this is a step towards greater collaboration between Tanzanian and American musicians! " ilisomeka tweet hiyo.


Taarifa hii ya Seven Mosha pia imeandikwa kwenye tovuti ya Billboard, miongoni mwa tovuti kubwa za masuala ya muziki na chart mbali mbali za muziki wa dunia.


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments