Rais Mteule wa Marekani Joe Biden amtangaza waziri wa ulinzi

Rais mteule Joe Biden amemtangaza Mmarekani mweusi wa kwanza kuongoza wizara ya Ulinzi, Jenerali Lloyd Austin. Wakati huo huo ametangaza sera zake za kijeshi atakapochukua madaraka Januari 20.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments