Rapper Lil Wayne Kufungwa Miaka 10? Akutwa na Mijegeje na Dawa za KulevyaRapper Lil Wayne amekutwa na hatia ya kubeba bunduki iliyokua imekokiwa mwaka 2019 akipanda Ndege binafsi huko Miami.


Lil Wayne alikutwa pia na Bunduki, dawa za kulevya aina ya cocaine na oxycodone ambapo kwa makosa hayo hukumu yake inaweza kuwa miaka kumi jela.


Ripoti zinasema hata hivyo kuna uwezekano akapunguziwa adhabu hiyo ambapo hukumu inatarajiwa kutolewa January 2021.


Wayne amewahi kuhukumiwa pia kifungo cha mwaka mmoja jela mwaka 2010 lakini alitumikia miezi nane tu na kuachiwa huru ambapo kosa lake lilikua ishu hizihizi za kukutwa na silaha.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments