Rayvanny awafunika Diamond Platnumz, Harmonize na Alikiba kwa hili, Atoa kauli hiiMsanii wa Muziki wa BongoFleva kutoka katika lebo ya WCB inayosimamiwa na Diamond Platnumz  @rayvanny, amefanikiwa Kufikisha zaidi ya Steams Milioni 15 kwenye Mtandao wa kusikiliza Muziki wa @boomplaymusic_tz, na kumfanya awe Mwanamuziki aliyesikilizwa zaidi kuliko wasanii wote Afrika Mashariki.Kupitia Ukurasa wao wa Instagram, BoomPlay wamethibitisha hilo huku wakimpongeza  kwa kuwa Msanii wa Kwanza Kufikisha Streams zaidi ya Milion 15 katika Mtandao huo .

Kwa maana hiyo Rayvanny amewapita Diamond Platnumz, Alikiba, Harmonize, Eddy Kenzo na wengine ambao ni wasanii wakubwa kwa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla.

Kupitia ukurasa wake wa instagram Rayvanny ameandika ujumbe huu:-

“ONLY ONE ☝ MSANII WA KWANZA KUFIKA 15M ( IWEKE KUMBUKUMBU ) Yani hapo Albamu bado iko ndani 😂😂😂 thanks alot @boomplaymusic_tz.      

So proud to be the Number one streamed artist on @boomplaymusic_tz Fan Love ❤ !!!!! #CHUI 🐅🐅🐅. #WcbForLife 🔥🔥🔥🔥🔥

 
 
That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments