Rubani wa Pili Kenya Airways Afariki wa Ugonjwa wa Corona, Alipata Changamoto za Upumuaji Akiwa Hotelini

 


Kapteni Salah Salim Jeizan ambaye ni Rubani wa Shirika la Ndege la #KenyaAirways amefariki Dunia kutokana na Virusi vya Corona


Kapteni Jeizan (57) aliwasili Uwanja wa Ndege wa Heathrow, #London akitokea Kenya na alipata changamoto za upumuaji akiwa hotelini na kukimbizwa Hospitali

Anakuwa rubani wa pili wa KQ kufariki kwa #COVID19 baada ya Kapteni Daudi Kibati kufariki mwezi Aprili. Tangu kuanza kwa mlipuko huo nchini #Kenya, Watumishi mbalimbali wa sekta ya anga wamegundulika kuwa na maambukizi


That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

1 Comments

  1. inna llilah wa inna ileyh Raj3n.
    Poleni ndugu zetu Wa Kenya.
    mungu amlaze peponi.. Ameen

    ReplyDelete