Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Sababu za Shilole Kuzimia Wakati Akivalishwa Pete ya Uchumba

 


Msanii @officialshilole amenyoosha maelezo kufuatia 'surprise' aliyofanyiwa kwa kuvalishwa pete ya uchumba na mpenzi wake #Rommy hali iliyopelekea kuzimia wakati linafanyika tukio hilo kwenye 'birthday party' yake.


#Shilole amesema hakutegemea na hakuamini kama atavalishwa pete hiyo ya Almasi na mwanaume ambaye amempambania kwa nguvu zote.


"Sikutegemea na sikuamini kabisa, nilikuwa na taharuki na nilistuka kwa kweli kwa sababu haikuwa tegemeo maana mimi nilikuwa na jambo langu mwenyewe la kujizawadia gari hata mwanaume mwenyewe hakuwa na dalili ya kunivalisha pete pia sikuwa nimefikiria hivyo vitu, ila sasa hivi hapa nina pete yangu ya Almasi kwenye kidole changu" amesema Shilole 


Aidha, @officialshilole amesema yupo tayari kwa ndoa ya pili na ikimpendeza Mungu basi wataoana kwa sababu kuolewa kwa mwanamke ni sunnah.


 

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments