Simba yaishushia kipigo cha goli 5-0 Majimaji FC
KLABU ya soka ya Simba imefuzu raundi ya nne ya  kombe la Shirikisho la Azam Sports baada ya kuicha timu ya Majimaji FC kutoka mjini Songea.
Magoli ya Simba yamefungwa na Gadiel 3', Mugalu 16’, Ame 60’, Kagere 78’, Miquissone 90'.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments