Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Stori Fupi ya Mchezaji Christian Ronaldo "Nilimwambia Baba Yangu Nataka Kuwa Kama Michael Jackson"Anasimulia Kwamba ALIPOKUWA mdogo mwenye Umri wa Miaka 7 alikuwa anaongea na Baba Yake mzazi na kumwambia Baba nataka siku Moja nije kuwa na nyumba kubwa ya thamani kama Mtaalamu Michael Jackson.Baba akamwangalia Mwanaye na akamwambia kwamba Mwanangu ndoto Ni ndoto tu hilo swali haliwezekani Mwanangu maana ndoto Ni ndoto tu Mambo makubwa ni ya Watu wenye pesa tu Mwanangu.


Lakini CR7 anasimulia ya kwamba leo hii Nina miliki majumba na Nina maisha mazuri lakini Cha kushangaza Ni kwamba Baba yangu hayupo tenaa alikwishaaga Duniaa. Cr7 anatamani baba yakee angekuwepo Ili aone mafanikio yakee hii leo lakini baba yakee hayupo na wala hajashuhudia mafanikio hayo.


Never give up🤞

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments