google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Tanasha Dona Afunguka Kuhusu Diamond Platnumz "Anajitahidi Kuwa Baba Bora" | UDAKU SPECIAL

Tanasha Dona Afunguka Kuhusu Diamond Platnumz "Anajitahidi Kuwa Baba Bora"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Mzazi mwenzie na @diamondplatnumz, @tanashadonna amesema kuwa mwimbaji huyo kwa sasa anamuhudumia mtoto wao kitu ambacho anajivunia.


Ikumbukwe wawili hao waliachana mapema mwaka huu baada ya kujaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume na kufanya muziki pamoja.

Akizungumza akiwa nyumbani kwao Kenya, #Tanasha alimwambia mwanahabari mmoja toka nchini humo, kwa sasa anaona jitihada za #Diamond katika kumuhudumia mtoto wao tofauti na hapo awali.


“Kwa mwanaye kwa sasa analipa ada ya shule, anafanya vizuri, anafanya jitihada. Ninaona kile anachofanya kwa mtoto wake, napenda sana jinsi anafanya jitihada kuwa Baba mzuri, ninajivunia,” amesema.


Katika hatua nyingine #Tanasha amesema nyumba aliyonunua hivi karibuni hajapatiwa fedha na #Diamond bali ni katika mambo yake mengine.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad