Tunda Afunguka "Nikilewa Lazima Nimfuate Baby Wangu Zinakimbilia Chini"


Video Vixen na mpenzi wa msanii Whozu, Cappuccino Tunda amesema moja ya tabia yake akiwa amelewa huwa anapenda atamfuata mpenzi wake popote alipo hata kama atakuwa ameleweshwa na watu wengine.


Cappuccino Tunda ameeleza hilo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram ambapo ameandika kuwa "Pisi yako ikilewa inapenda kufanya nini, mimi nikilewa lazima nimfuate 'boyfriend' wangu alipo hata kama nimeleweshwa na watu wengine, simu moja tu sipo" 


Mahusiano ya Tunda na Whozu yalianza muda mrefu tangu wakiwa shuleni wanasoma huko Moshi, Kilimanjaro ila waliachana kisha kurudiana tena mwaka 2018.

That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

1 Comments

  1. Umegeuka Jaki.!! Unywe changu halafu ukampe wako..PATACHIMBIKA

    ReplyDelete