Tundu Lissu Atunukiwa TUZO ya Demokrasia

 


Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Tanzania, Chadema,bwana Tundu Lissu ametunukiwa tuzo ya demokrasia.

Taasisi ya kimataifa ya 'International Democrat Union' imemtunuku tuzo hiyo kutokana na mapambano yake ya uhuru na demokrasia aliyoyafanya nchini Tanzania.


Mara baada ya matokeo ya uchaguzi uliofanyika mwezi Oktoba kutangazwa, Lissu alisema kuwa alikuwa akipokea vitisho vya kifo hatua iliomfanya kuondoka na kuelekea Ubelgiji.


That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

1 Comments

  1. Hapa..!!! Kuna Uchakachuaji na Magumashi.

    Lizzu, Kibeko huyu.!! hata Tunzo ya mfagiaji bora soko la Ndugai haipati.. itakuwa kiofisi cha intaneshono..?? sielewi

    Hivyo, hicho kiofisi kiko wapi? na kina majukumu yepi.?

    Na mwenzake Selimwalimu ameipata pia? au Haekaeli FerryMan?

    ReplyDelete