Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Uchebe Amkumbuka Shilole Giza Limeingia

 


Mfanyabiashara wa magari Uchebe amemkumbuka mke wake wa zamani Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole kwenye siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake kwa kumwambia anamtakia maisha mema.


Kupitia ukurasa wake wa Instagram Uchebe amepost picha akiwa na Shilole enzi za mahusiano yao kisha akaandika 


"Happy birthday kwako Zuwena, nakutakia maisha mema na mafanikio zaidi kwenye kila harakati zako, enjoy your day mwenyezi mungu akutunze".


Haikuishia hapo kwani Shilole alifanya 'party' ya kufurahia kuongeza mwaka mwingine kwenye maisha yake ambapo kulitokea 'surprise' kibao ikiwemo kujiwazawadia gari jipya, kuvishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa zamani Rommy na kuzimia.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments