Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Unaambiwa Huu Hapa Ndio Mji Wenye Wanawake Wapweke Duniani...Wanahitaji Wanaume wa Kufunga Nao Ndoa


 #UNAAMBIWA: Kama bado Mwanaume upo single ikufikie hii Good News kutoka Nchini Brazil, kuna Mji unaitwa Noiva Do Cordeiro ambao una upungufu mkubwa wa Wanaume, huko Wanawake Warembo wamekumbwa na upweke wakitamani Wanaume wa kuwapenda na kufunga nao ndoa.


Ni Mji wenye zaidi ya Wanawake 600 wa kuanzia umri wa miaka 20 hadi 35, kanuni za eneo hilo ni kwamba hakuna Mwanaume anaruhusiwa kuishi hapo Full Time, Wanaume wachache wanoishi hapo wanalazimishwa kufanya kazi mbali na kurudi Weekend pekee huku Watoto wa kiume wakishafikisha miaka 18 hutakiwa kwenda kuishi Miji mingine.


"Tunataka Wanaume wa kuwapenda na kuolewa nao ila hatutaki kutoka hapa kwenda kuwatafuta, imefika wakati tunafikiria kulegeza masharti, Wanaume walio tayari kufuata taratibu zetu waje ila wakubali kuacha mambo yao yote huko na waanze maisha mapya hapa"- Nelma Fernandes (23)

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments