Unaambiwa Kutoroka JELA Nchini Ujerumani Sio Kosa

 


#UNAAMBIWA Nchini Ujerumani Mfungwa hawezi kuadhibiwa kwa kitendo cha kutoroka Jela kwasababu kutoroka Jela kunachukuliwa ni jambo la asili la Kibinadamu (kutamani kujiokoa ili awe huru), na Mfungwa akifanikiwa kutoroka haesabiwi kuwa amevunja sheria na kama aliharibu kitu wakati anatoroka mfano kuvunja kitu cha thamani hapo tu ndio atatakiwa kulipa.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments