Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Upinzani Ghana wapinga matokeo ya urais
Upinzani nchini Ghana umeyapinga matokeo ambayo yamempa ushindi wa kuongoza awamu wa pili, Rais Nana Akufo-Ado na kusema watakata rufaa kupinga matokeo rasmi yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi.
 Haruna Iddrisu, ambae ni mbunge wa chama cha upinzani cha National Democratic Congress NDC, amesema kuna ushahidi wa kutosha ambao unawafanya wao wasikubaliane na matokeo.

Hatua hiyo ni baada ya Tume ya Uchaguzi wa Ghana, kumtangaza Rais Addo wa chama cha New Patritiotic, NPP, kuwa ni mshindi wa asilimia 51.59 za kura na kumbwaga mpinzani wake kiongozi wa chama NDC, John Mahama.

Taifa hilo la Afrika Magharibi linajulikana kwa sifa ya demokrasia thabiti, lakini mivutano iliongezeka Jumanne baada ya Mahama kudai kushinda kwa wingi wa bunge na kumuonya hasimu wake Nana Akufo-Addo, dhidi ya wizi wa kura.

  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE

Post a comment

4 Comments

 1. Kama Kina Zitoo na wenzake Vibaraka hata Uganda itakuwa hivyo hivyo. Kama alivyosema Palamagamba, perfect election IKO MBINGUNI. KAMA HUUKUBALI NENDA UBELIJIJI.

  Hongera Raisi Mteule Nana Akufo-Ado..Ghana inakuhitji katika
  kuwaletea WaGhana na Afrika Maendeleo.

  Na Hongera kwa Maalim Seif kwa Busara na Hekima kulijua hilo
  na kujiunga katika Safari ya kujenga Nchi bila kujitenga.

  Aliejitenga kwaao Belijiji, Kina Halima na Waheshimiwa wenzake 19 pia wako katika kulitumikia Taifa bila kujitenga
  Watanzania Kina Mama Majasiri, Ubelijiji sio KWAO.

  HONGERENI KINA MAMA WACHAPA KAZI MAJASIRI KAMA MAALIM SEIF.

  ReplyDelete
 2. Kama Kina Zitoo na wenzake Vibaraka hata Uganda itakuwa hivyo hivyo. Kama alivyosema Palamagamba, perfect election IKO MBINGUNI. KAMA HUUKUBALI NENDA UBELIJIJI.

  Hongera Raisi Mteule Nana Akufo-Ado..Ghana inakuhitji katika
  kuwaletea WaGhana na Afrika Maendeleo.

  Na Hongera kwa Maalim Seif kwa Busara na Hekima kulijua hilo
  na kujiunga katika Safari ya kujenga Nchi bila kujitenga.

  Aliejitenga kwaao Belijiji, Kina Halima na Waheshimiwa wenzake 19 pia wako katika kulitumikia Taifa bila kujitenga
  Watanzania Kina Mama Majasiri, Ubelijiji sio KWAO.

  HONGERENI KINA MAMA WACHAPA KAZI MAJASIRI KAMA MAALIM SEIF.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hii, Ni Lazima Mtowe ajifunze, ili akue kiongozi anae jiongeza katika Saccoz yake badalaya Kutangaza na kuhamasisha Uvunjifu wa Amani na Kutayarisha vijana wa
   bodaboda na Mateja kuanzisha Vurugu na kuhujumu Miundo Mbinu..imekula kwake...!!! BIG TIME...!!!

   Delete
 3. Kama Kina Ziito na wenzake Vibaraka hata Uganda itakuwa hivyo hivyo. Kama alivyosema Palamagamba, perfect election IKO MBINGUNI. KAMA HUUKUBALI NENDA UBELIJIJI.

  Hongera Raisi Mteule Nana Akufo-Ado..Ghana inakuhitji katika
  kuwaletea WaGhana na Afrika Maendeleo.

  Na Hongera kwa Maalim Seif kwa Busara na Hekima kulijua hilo
  na kujiunga katika Safari ya kujenga Nchi bila kujitenga.

  Aliejitenga kwaao Belijiji, Kina Halima na Waheshimiwa wenzake 19 pia wako katika kulitumikia Taifa bila kujitenga
  Watanzania Kina Mama Majasiri, Ubelijiji sio KWAO.

  HONGERENI KINA MAMA WACHAPA KAZI MAJASIRI KAMA MAALIM SEIF.

  ReplyDelete
Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)